[VERSE 1] Kiangazi masika ukiichanganya Vyote vikashuka kwangu vitanielemea Ntakosa pa kushika ntavavanya Wewe ndo mwandani wangu nliokuzoea Ntunza vyangu visiri mwenye kunisitiri Fundi mitambo Kinga yangu ya mwili usiyelipa bili Kuchoma changu Simtaki kafiri jangiri mwingi wa mambo Moyo akaukatilli Nikondeshe mwili Ajifanye rambo Si unajua Dalili ya mvua mawingu Ikitaka kunyesha Huwa yanatanda Nami si unanjua aah Nimeumbwa na wivu Kidogo tu presha Yanshuka yapanda Niahidi kama [CHORUS] Utatulia aaah Baby Niahidi kama (utatulia aaah) Hhhmm nisibaki nkashika tama Utatulia aaah Baby Niahidi kama (utatulia aaah) Hhhmm wasiniibie cha ngama https://tanzilyrics.com/lyrics/lava-lava-utatulia