Untitled


SUBMITTED BY: erastolahi

DATE: June 15, 2017, 1:46 p.m.

FORMAT: Text only

SIZE: 294 Bytes

HITS: 401

  1. Ukitaka cha uvunguni shurti uiname, watu tuliowengi tunaelewa sana kuhusu huu usemi na ni wa kweli kabisa. lakini tunaupuuza kwa kuzihurumia nafsi zetu na miili yetu isiumie.
  2. ili ufanikiwe kwenye malengo na ndoto zako shurti ufanye kazi kwa bidii na kujituma. wakati mwingine kujitesa kabisa

comments powered by Disqus